HAZINA YA MASWALI(STIKA:tasa)
-
je inafaa mtu kumfunga uzazi paka wake kwa ajili ya kumlinda asidhurike kutokana na kuzurura ovyo kwa ajili ya kutafuta uhusiano wa kijinsia?
11778 2012/06/17 Sheria na hukumuJawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Khamenei Mungu amhifadhi : Iwapo kumfunga huko mimba kutakuwa ni mateso kwa mnyama huyo basi jambo hilo halitofaa kutendwa. Jawabu kutoka ofisi ya elimu