advanced Search
KAGUA
11749
Tarehe ya kuingizwa: 2012/04/10
Summary Maswali
je inafaa mtu kumfunga uzazi paka wake kwa ajili ya kumlinda asidhurike kutokana na kuzurura ovyo kwa ajili ya kutafuta uhusiano wa kijinsia?
SWALI
je inafaa mtu kumfunga mimba paka, ili asidhuriwe kutokana na kuzurura kwa ajili ya kutafuta uhusiano wa kijinsia na paka wengine? Nimeuliza swali hili kutokana na kutambua kuwa, paka wengi wanaofugwa ndani ya nyumba huwa hawana mazoea ya kuranda nje na wala hawana himaya, hii ni kwa kutokana na wao kutokuwa na uerevu wa mazingira hayo, pia iwapo yeye atatoka na kuzurura ovyo, huwa ni rahisi kusibiwa na aina mbali mbali za maradhi, maradhi ambayo yanaweza kumsababishia kifo.
MUKHTASARI WA JAWABU

Jawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Khamenei (Mungu amhifadhi):

Iwapo kumfunga huko mimba kutakuwa ni mateso kwa mnyama huyo, basi jambo hilo halitofaa kutendwa.

Jawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Mahdi Hadawiy Tehraniy (Mungu amhifadhi), ni kama ifuatavyo:

Iwapo kutatumika njia maalumu katika kumfunga mimba mnyama huyo, njia ambayo itakuwa si yenye kumletea yeye mateso, basi jambo hilo litajuzu, lakini pia ni lazima izingatiwe kuwa kumfunga huko uzazi, ni kwenye maslahi maalumu yanayokubalika kisheria.

JAWABU KWA UFAFANUZI

Njia ya kuelekea kwenye maswali ya kifiqhi ni yenye namba

TARJAMA YA JAWABU KATIKA LUGHA NYENGINE
MAONI
Idadi ya maoni 0
Tafadhali ingiza thamani
mfano : Yourname@YourDomane.ext
Tafadhali ingiza thamani
<< Niburute.
Tafadhali ingiza kiasi sahihi ya usalama Kanuni

MASWALI KIHOLELA

YALIYOSOMWA ZAIDI