HAZINA YA MASWALI(STIKA:tabia)
-
kuna tofauti gani baina ya tabia na eimu ya tabia (saikolojia)?
31800 2012/06/17 Tabia kimtazamoNeno tabia linatokana na neno la Kiarabu اخلاق ambalo ni umoja wa neno خلق lenye maana ya tabia nyenendo au sifa za watu mbali mbali zinazo zimbatana na matendo yao bila ya kutofautisha baina ya sifa