HAZINA YA MASWALI(STIKA:madhehebu manne)
-
vipi madhehebu manne ya Ahlu-Sunna yalipatikana, na ilikuwaje mlango wa ijitihadi wa madhehebu hayo ukafungwa?
23349 2012/06/17 Sheria na hukumuMafunzo na fiqhi ya Kiislamu yaligawika sehemu mbili tokea ndani ya kipindi cha mwanzo cha tarehe ya Kiislamu baada tu ya kufariki Mtume s.a.w.w kipindi ambacho kilikuwa ni kipindi cha mzozo katika s