HAZINA YA MASWALI(STIKA:Ramadhani)
-
je ndani ya hadithi kuna ushahidi wowote unaoelezea kuwa Ramadhani ni siku tahalathini?
9998 2012/05/23 Elimu ya HadithiKila mwaka wa Hijiria kwa kawaida huwa una miezi kumi na mbili na masiku ya miezi huwa yanahesabiwa kwa kuonekana kwa mwezi hii ni kanuni ya mwaka wa Hijiria ama mwaka Shamsia kwa kawaida masiku yake
-
nini hukumu ya msafiri aliyefunga, ambaye atasafiri kabla au baada ya kuingia Adhuhuri?
8225 2012/05/23 Sheria na hukumu1- safari itakayo fanywa baada ya adhuhuri huwa haiharibu funga na funga ya siku hiyo itakuwa sahihi. [ 1 ] 2- na mtu ambaye yuko safarini kisha akaamua kurudi kwake kabla ya adhuhuri au akaamua kw
-
nini hukumu ya mtu aliyekuwa anadaiwa funga kisha akawa hakuilipa funga hiyo hadi akafikiwa na Ramadhani nyengine ya mwaka ulioufata?
14060 2012/05/23 Sheria na hukumuTokeo hilo linaweza kutokea katika sura tatu nasi tutazifafanua sura hizo na kuzijibu kwa mujibu mitazamo ya maulamaa isemavyo. Na jawabu zetu ni kama ifuatavyo: 1- iwapo mtu ataacha kufunga kwa kut
-
je mtu asiwajibikiwa kufunga (asiyefunga) ana ulazima wa kutoa zakatul-fitri?
10836 2012/05/23 Sheria na hukumuMtu atakaeingiliwa na usiku wa Idil-fitri huku akiwa ni baleghe na mwenye akili timamu naye akiwa si mtumwa wa mtu wala si fakiri mtu huyo atawajibika kutoa zakatul-fitri kwa ajili yake na kwa ajili y
-
nini hukumu ya kupiga sindano ya nguvu au kutia maji ya nguvu (Intravenous injection) mwilini ndani ya Ramadhani?
9972 2012/05/23 Sheria na hukumuWanazuoni wamekhitalifiana kuhusiana na suala hilo. Kwa kupata jawabu tosha ni lazima utuambie kuwa wewe ni mfuasi wa mwanazuoni gani? Ili tuweze kukupa jawabu makini zaidi. Kwa vyovyote vile mitazamo
-
kuna ulazima gani wa kuonekana kwa mwezi kwa ajili ya Ramadhani? Na mbona suala hilo hailizingatiwi sana ndani ya miezi iliyobakia?
8473 2012/05/23 Falsafa ya Sheria na hukumuSuala la kuonekana kwa mwezi ni lenye umuhimu ndani ya miezi yote lakini suala hilo huwa ni lenye kupewa kipau mbele zaidi ndani ya mwezi wa Ramadhani kwa kutokana na ulazima wa ibada ya funga iliyomo
-
iwapo mtu ndani ya usiku wa mwezi wa Ramadhani atabakia na janaba hadi wakati wa adhana ya asubuhi kwa makusudi bila ya kukoga, mtu huyo atatakiwa kufanya nini? Je ailipe ile siku moja tu, au pia atatakiwa kulipa fidia?
21637 2012/05/23 Sheria na hukumuiwapo mtu atawajibikiwa kufunga mwezi wa Ramadhani naye kwa makusudi akabakia na janaba hadi adhana ya asubuhi anaweza yeye akatayamamu katika nyakati za mwisho kabisa kabla ya kuadhiniwa adhana hiyo